Kijana Zakaria Ulaya amefikishwa mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Tabora mjini akituhumiwa kwa kosa la kmbaka mwanafunzi wa Shule ya msingi Gongoni tukio ambalo lilifanyika huko kata ya Ipuli manispaa ya Tabora,akisomewa maelezo ya kosa Zakaria amekana kuhusika na tukio hilo,hata hivyo amerjeshwa mahabusu baada ya kushindwa kutekeleza masharti ya dhamana ambapo walihitajika watu wawili ambao wangeweza kumdhamini kwa fedha zenye thamani ya shilingi milioni tatu kila mmoja.Kesi hiyo itatajwa tena mnamo tarehe 12 March mwaka huu
ANGALIA LIVE NEWS
Friday, February 28, 2014
AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUMBAKA MWANAFUNZI WA DARASA LA SABA
Kijana Zakaria Ulaya amefikishwa mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Tabora mjini akituhumiwa kwa kosa la kmbaka mwanafunzi wa Shule ya msingi Gongoni tukio ambalo lilifanyika huko kata ya Ipuli manispaa ya Tabora,akisomewa maelezo ya kosa Zakaria amekana kuhusika na tukio hilo,hata hivyo amerjeshwa mahabusu baada ya kushindwa kutekeleza masharti ya dhamana ambapo walihitajika watu wawili ambao wangeweza kumdhamini kwa fedha zenye thamani ya shilingi milioni tatu kila mmoja.Kesi hiyo itatajwa tena mnamo tarehe 12 March mwaka huu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment