ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 22, 2014

AGNESS MASOGANGE NDANI YA JIJI LA WABUNGE DOM

USD DOLLAR ZILIZOMWAGA NA MAPEDESHEE WA DODOMA:
SHADADI KUTOKA VODACOM MAKAO MAKUU DODOMA AKIWA NA BOSS NGASA MUDA HUU KWENYE KIWANJA CHA KIJANJA MATEI LOUNGE & PUB
HUYU NDIYE MMILIKI MATEI LOUNGE & PUB AKIWA NA AGNESS MASOGANGE MJINI DODOMA, JAMAA KAPAGAWA KINOMA NOMA: KAMA UPO DODOMA FIKA MAENEO HAYA UJIONEE BALAA LA WAREMBO WAKIOSHA MAGARI KWA MBWEMBWE:
GREDITBOSSNGASS

5 comments:

Anonymous said...

Kwa staili hii kweli tutapata katiba mpya yenye uraia pacha???

Anonymous said...

Lol, wafanye yote wanayo taka..... Lakini ni lazima wapitishe uraia pacha

Anonymous said...

HATUPATI LAKINI SI NDO FAHARI YA TANZANIA YA KIZAZI CHETU HIKI CHA LEO.REST IN PEACE MWALIMU JULIUS NYERERE BABA I MISS YOU BABA WETU WA TAIFA

Anonymous said...

Huyu ndie yule yule masogange aliyeleta kizumbukutu cha madawa ya kulevya! Leo yuko wapi kama si Serikali haina lolote iko wazi kabis ahakufanya hii dili pekee wako wazito fulani ndani ya serikali ya CCM na mwone sasa yuko huko DOM na wenyewe wenye mali zao. Hii ni aibu kw Taifa..

Anonymous said...

Kumbe huyo Agness hana shepu ya kuzingua....? mbona akiweka picha Insta unaona matako makubwaaa.. hips kubwaaaaa kumbe mambo ya photoshop.. kweli mnaibiwa wengi