Benki
ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu
baada ya Rais Yoweri Museveni kuidhinisha sheria mpya dhidi ya mapenzi
ya jinsia moja.
Sheria
iliyoidhinishwa na Rais Yoweri Museveni, ilitiwa saini Jumatatu na
inatoa adhabu kali kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
Wafadhili
wengine tayari wameanza kusitisha misaada Uganda. Wahisani kama Denmark
na Norway wamesema kuwa wataanza kufadhili mashirika moja kwa moja
badala ya serikali.
Aslimia 20% ya bajeti ya Uganda inategemea michango ya wafadhili.
Wizara ya fedha ya Uganda imesema inasubiri mawasiliano rasmi ya nchi husika, na iko tayari kukabiliana na athari za hatua hiyo.
Hadi
kufikia sasa Waziri wa Fedha Wa Sweden, akiwa mjini Kampala, alisema
waekezaji kutoka nchi yake watakuwa na wakati mgumu kuweka pesa zao
nchini Uganda kwa sababu watakuwa na hofu kuwa sheria yo yote inaweza
kupitishwa kuwadhulumu watu.
Jana
serikali ya Uholanzi ilisema itazuia kwa muda misaada kwa Serikali ya
Uganda. Norway na Denmark pia zimetangaza kupunguza au kusimamisha kwa
muda misaada yake kwa Uganda.
CHANZO NI BBC SWAHILI
10 comments:
Haya tuone jeuri ya WaGanda sasa kama magay ndio tatizo lenu number moja inakula kwenu...Ujeuri usio na tija..
big up waganda tena mungu akubarikini sana na mungu pekee ndo atakaye kuokooni na kukunufaisheni katika maisha big big big up man, museveini angekuwa raisi wa TANZANIA,tanzania ingebarikiwa sana sana sana kwa sababu anamsimo hayumbishwi tena mcha mungu mungu akubarikini sana waganda wote dunia nzima mlipo popote pale amin.
i admire your president courage and iam ashamed of my country tanzania.
akili za changaa huyo mdau hapo juu nina swali la kuumuliza je angekuwa mtu katika familia yake gay angesemaje angeona jambo jema au?
mungu kaumba mwanamme na mwanamke kujamiana na si jinsia mmoja ndoa maana laana za mungu kila leo zinawafikia watu na mataifa mbali mbali kwa kumkosea mungu.
tanzania daima itadidimia kwa kuchukua pesa hizi na kuona zina tija na uganda mungu anaibariki kila leo tizama elimu yao hata baba yetu wa taifa alisome huko zamani.
jeuri ya wanganda ndo hiyo watanzania kuweni magay hamna jeuri kama ya wanganda mmezoea vya bure na kuburuzwa ovyo na watu wa nje na kufanywa wajinga kila leo waganda si wajinga na ni vidume vya mbegu na si jeuri tu yetu tunamuogopa mungu na tuna mcha mungu sio nyinyi watanzania waongo wanafiki na magay ndo maana mnataka pesa za magay. na ndo maana nchi yenu haiendelei laana ya mungu imekupateni, jifunzeni kwa waganda.
ndo jeuri yetu hii wanganda ya kumuogopa mungu na kumuabudu mungu kama anavyotufundisha na kutukataka katika bibilia.
WANGANGA MKO JUU MUNGU ATAKUSAIDIYENI DAIMA KWA KUWA NA MSIMAMO WA KWELI YOU ARE TRULY A GIANT AFRICA NATION HURAAAAAY HIP HIP HURAAAAY UGANDA AND ALL THE UGANDA HURAAAAAY
waache wabane hao benki ya dunia wao wanabaa mungu anafungua kwani wao mungu.riziki yenu iko kwa mungu na si kwa mtu au watu wanaotaka kukusabaritisheni na maandiko ya mungu wenu aliyoyakataza ya kuwa magay na malesbian.
katika mara yangu ya kwanza nilipo soma story hii nililia na kusema kweli kuna nchi zina msimamo wa kweli,nilimsoma mugabe jinsi alivyomsifu baba wataifa hakuna hata mtanzania yeyote yule aliyetoa comment ya kumshukuru lakini nakumbuka ilivyokuja issue ya mugabe kuwafukuza wazungu nchini mwake watanzania walitoa comment kwa wingi sana na leo nimesoma hii habari nimefurahi sana kuona museveini anamsimamo wa kweli
nasubiri kuwaona waosha vinywa na wavimba macho wenzangu kama watatoa comment kuhusu hili issue.
hizi ndo story za kujivunia si umbeya wa hapa na pale usio na tija wala kunufaisha maadili yetu
mungu akubariki sana museveni na akuepushiye na shari mataifa machafu yasio na nia njema kwa nchi yako na waganda wote.AMEN
Hanging on to old fashion values and religious beliefs is great, it is just not presidential and straight up bad for business.
I get that he is afraid that... wait, what is he afraid of again?
Maybe he wants to take people to heaven by any means necessary.
They are not harming anybody, just let them be.
kweli ukiambiwa dunia inaisha ndio huku,lkn msijali waganda ishini kwakumtegemea Mungu mbona mtasonga tu,kwani ni wapi Mungu alisema watu wa jinsia moja waowane hiyo ni kwenda kinyume na Mungu,mtapata msaada toka kwa Mungu mkimtegemea kwa imani.
Post a Comment