MH BALOZI MAMA LIBERATA MULAMULA MGENI RASMNI KATIKA SHEREHE YA MIAKA 37 YA KUZALIWA KWA C C M ITAKAYOFANYIKA JUMAPILI TAREHE 23 2/23/14 HAMPTON INN 9670 BALTIMORE AVE COLLAGE PARK MD 20740 KUANZIA SAA 10 JIONI KUTAKUWA NA BURUDANI YA KUKATA NA SHOKA VUNJA MBAVU HAMASA NA DJ ALIYEBOBEA TUTATOA FOMU KWA WANACHAMA WANAOJIKITA KUWANIA NAFASI YA UKATIBU KARIBUNI WANACHAMA NA WATANZANIA WOTE SHIME KUWAHI
15 comments:
Na sisi wana USA Republican Party tawi la Buguruni tukane hapo Buguruni Bungoni kwa BBQ kabambe! Wote mnakaribishwa.
Mdau - Buguruni DSM
USA Democratic Party tukutane Manyovu sokoni, karibuni wote
Na sisi China Communist Party Bracnh tukutane hapo
USA conservatives TEA PARTY tunaisho Bukoba tukutane kwenye mnuso kijijini Katerero Jumamosi ijayo saa 10 jioni. Kufika kwako ndiyo mafanikio ya sherehe hii.
US libetarians wote mnaoishi Songea tukutane Namtumbo jioni ya jumamosi ijayo kwenye party ya kufa mtu. Tafadhali msisahau kuja na mdizi za kuiva pamoja na vijiti vya kuchokonolea nyama kwenye meno.
Bukoba is the place to be
Hivi hizi shughuli zinakuwa finaced na nani?? Yaani watoto na kina mama wanakufa, shule hazina vyoo halafu watu wanapoteza pesa kula na kunywa tuu. Shughuli kama hii tunazungumzia maelfu ya dola wasted ambazo zingeweza kuchonga madawati kibao au kuinua hali ya kiafya ya watoto na kina mama. CCM imekwisha sheherekea kitaifa sasa kila tawi nalo lisheherekee! TUBADILIKE WAJAMENI NCHI YETU HAITAJENGWA NA SERIKALI YEYOTE BALI NI SISI WANANCHI WENYEWE.
HUU NI UPUUZI MTUPU TUNAFANYA HUKO UGHAIBUNI, YAANI HATUNA HATA AIBU YA KUONA NIN NINI KINACHOENDELEA KULE NYUMBANI, NA HAWA VIONGOZI WAKI HAPA TUNAWANYENYEKEA NA UFISADI WAO BADALA YA KUWAELEZA UKWELI!!! tusiwe vicha vya wendawazimu. HIVI NYIE AMBAO HAMUENDI KULE NYUMBANI MNAELEWA KINACHOENDELEA KWA NDUGU NA JAMAA ZENU!! Sawa serikali inajitahidi kwa kiasi chake lakini mapungufu ni mengi mno tokana na umimi kwa wale waliokuwa na nafasi!! Siasa za hapa zinatusaidia nini au kuna mbinu za kuletewa ruzuku kiaina?? Tuambiane jamani.
Commentaries by the so-called Anonymous 1-6 are suspect, and the tone leaves one to wonder the motive behind! I presume they were penned down by one insane individual who is missing the whole point. Mdau/wadau 1-6, if you so much distaste and loathe CCM, the party which taught your father and mother how to read and write, then you must have lost your mind! My advice is for you to just shut-up and wait for Chadema to save your soul? By the way,are you Looking for a job? Chadema is now hiring for idiots like you..6 potter positions are available to haul tourists backpacks from Marangu hut to the top of Mt. Kilimanjaro. However, you are more than welcomed to join us, CCM FRIENDS FOREVER as we celebrate the Party which taught every Tanzanian how to READ and WRITE.
Hii inaonyesha kwamba watu wamechoka kusikia party za vyama vya siasa nje ya nchi zao....Tunajua ndiyo wanatafuta sifa serikalini nakuonekana kwenye magazeti(kujionyesha) lakini jamani'si kila kitu kinachofanywa na CCM,CDM...nanyi mkifanye hapa USA. Mbona hatuwasikii watanzania waishio ujerumani kufanya hivyo..kila la kheri.
You should tell us the benefits of these branches in foreign countries. The CCM of the 80s is different from today, today they are concerned more on how to spend our taxes, It is a very very sad situation if you have been here. There is nothing in our hospitals and hence the so called leaders go overseas to be treated. You wake up!!
Hehehehh kaaazi kweli kweli
Kina mama bado wanazaa sakafuni, watoto wanazaliwa wanashare kitanda, kina mama wanaambiwa wanunue kila kitu hadi gloves za kuzalishwa, mkasi wa kukatia kitovu cha motto, pamba, pads, and the list goes on and on. Naomba kwa wale mnaokwenda bongo nenda katembelee Muhimbili hospital ward wa uzazi na watoto. Then ukirudi u will not dare to throw money like this. $2000 dollars only out of the money you spend for this kind of party can make a huge impact if you buy supplies for such department in the hospitals.
Andress ikwapi
Annon tukiomba uraia pacha mlolongo wa maneno yanafuata kutupinga then nyie hao hao mnataka hela za madawati, na kuinua afya za watoto na mama. Tusaidieni nasi tuwasaidie. Tanzania hoyeeee!
Post a Comment