ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 23, 2014

PICHA:ALIYECHUKULIWA MSUKULE AONEKANA AKIWA NA BIBI KIZEE MBEZI MWISHO DAR

 
LINUS
Tukio la ajabu limetokea Mbezi mwisho jijini Dar es salaam kwa Mtume. Peter Rashid Abubakar kijana Linus aliyekuwa amekufa na kuchukuliwa Msukule wakati wanakwenda Muhimbili kwenye chumba cha maiti tayari kwa maandalizi ya mazishi watu wakiwa wamejaa nyumbani kwa marehemu kupitia maombi ya Mtume Peter Rashid Abubakar ghafla walipigiwa simu kuwa mtoto wenu amepatikana Temeke akiwa kwa bibi kizee fulani ndipo walipokwenda wakamkuta ni yeye akiwa ni mzima na aliyekuwa kwenye Chumba cha maiti naye anafanana na kijana wao Linus ndipo wakamleta kanisani kwa Mtume Rashid akamuombea pamoja na wazazi wake kuwapatia ulinzi wa kimungu huku wakilia machozi.

No comments: