ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 23, 2014

MAISHA MAPYA YA JUSTIN BIEBER HUKO ATLANTA YAINGIA DOSARI MAJIRANI KUANDAA MAANDAMANO YA KUPINGA YEYE KUWA JIRANI YAO

Usingizi huu ndiyo unaomendewa na Bieber licha ya majirani kuanza kupiga zengwe la kutomtaka star huyu kuwa jirani yao, Kwasababu ya utukutu wake aliounza siku za karibuni na kusababisha hadi kuchafua hali ya hewa serikani.
Majirani wa eneo hili wameanza kulalamika kwani wanasema kuwa watoto wao watakuwa na tabia mbaya kama  ya huyu kijana akiwa jirani yao kutokana na tabia zake zilizo sababisha hadi akalala jela.
Majirani  wapatao 136 wame sema wataandamani kupiga  Bieber kununua usingizi huo unaogharimu Mil 11 za kimarekani na Unavyumba 7 vya kulala.



Hapa ndiyo patakuwa makao mapya ya Bieber huko Atlanta
Bwana Sam Massell ni rais wa majirani wa sehemu hiyo kasema hataenda kuandamani na  pia hataudhuria sherehe za kumkaribisha mgeni huyo mpya katika eneo lao.

No comments: