ujumbe huu ni wa kweli kabisa na ndo maana mimi nangalia sana kabla sijajingiza katika ndoa,nambiwa maneno mengi tu na kudhihakiwa huko mitaani lakini sijali na simama na msimamowangu bado wa kuchunguza swali hili la kujiingiza katika ndoa najua kuna siku nitaingia kwenye ndoa lakini
mungu wangu nisaidiye nimpate mwenza mchamungu, mwenye penzi la kweli na mwenye adabu.AMEN
1 comment:

Post a Comment