Edith Mordi na Bryan Carter katika picha ya pamoja kwenye send off ya Edith iliyofanyika Silver Spring, Maryland siku ya Jumapili March 16, 2014 na kuhudhuriwa na ndugu na jamaa.
Bwana harusi mtarajiwa, Bryan Carter akifanya jaribio la kumtambua mke wake mtarajiwa mara tu baada ya Edith kuingia ukumbini akiambatana na walimbwende wenzake. Bwana harusi mtarajiwa aliweza kumtambua mke wake mtarajiwa ambao harusi yao itafungiwa Tanzania.mwaka huu.
Mchungaji akifanya maombi kwa Edith na Bryan mara tu baada ya Edith kuingia ukumbini.
Edith akiingia ukumbini mara ya pili baada ya kubadilisha nguo alizokujanazo mwazo huku akisindikizwa na akina mama wa DMV ndugu, jamaa na marafiki.
Bryan akilisha keki Edith.
Edith akimlisha keki Bryan.
Mama ya Brayan akitoa husia kwa maharusi watarajiwa.
Wazazi wa Edith wakitoa husia kwa maharusi watarajiwa.
Mama wa Bi harusi matarajiwa, Dr. Nicku Mordi akimzawadia khanga mama wa bwana harusi mtarajiwa.
Bi harusi akipata zawadi kutoka wa mama na mashangazi.
Kapu la mama
Edith akimshukuru mama yake kwa malezi mazuri aliyompa na sasa anakwenda kuanzisha mji wake. Edith alimzawadia mama yake kwa zawadi ya khanga.
meza ya wazazi wa Edith
Meza ya wazazi wa Bryan
Bryan na Bibi yake.
3 comments:
harusi hii inaoneka itakuwa moto moto si mchezo haya jamani kila la kheir mtuzane mpaka uzeeni na kuwa na vijuku pamoja amen
Beautiful!
Beautiful
Post a Comment