1.JENIFA KYAKA ODAMA

2.SALMA JABU NISHA

4.AUNTY EZEKIEL
5.WEMA SEPETU

Kwa mujibu wa tathmini ya watanzania wadau wa filamu ni kwamba Hao hapo pichani imesemekana kuwa ndio wasanii wa kike Bongo Movies waliojipatia mafanikio kupitia kazi Filamu zao wenyewe, Na kufikia hatua ya kumiliki Kampuni zao wenyewe.
FILAMU BINAFSI
Kwa mfano kama mwanadada Odama mpaka sasa ameweza kutoa Filamu zake mwenyewe na zikafanya Vizuri sokoni,
FILAMU BINAFSI
Huku akufuatiwa na mwadada Salma Jabu Nisha
kwa kuliteka soko la Filamu Tanzania kwa Movie yake iliomzolea
mashabiki iitwayo Tikisa akatikisa Tanzania nzima hatimaye kutoa
nyengine iitwayo GUMZO na ni kweli imekuwa Gumzo Afrika mashariki.
Vilevile Jacklyn Wolper na Wema Sepetu nao wanakula matunda ya Sanaa yao, Kwa kifupi warembo hawa sanaa imewaweka pazuri Maisha yao sio tegemezi tena.


2 comments:
Nadhani the correct word ilipaswa kuwa wasanii wa kike waliopata kufahamika zaidi kupitia movie na sio waliopata mafanikio kwani wengi kati ya hao bado ni tegemezi kupitia njia mbalix2 ie kuchuna mabuzi....
umesama kweli mdau wa mwanzo kuchuna mabazu ndo zao wasani hawa wote si siri hakuna mafanikiyo yoyote.
Post a Comment