Siyo kweli Diomondo yupo juu na anakubalika ila mademu ndiyo wanachuana kuwa naye kwa vile anapesa na wao ndiyo hawana mapenzi ya kweli wanajitongozesha kwake we mwanamke na heshima zako huwezi kusikia mtu yupo na fulani akakutongoza ukamkubali. Ni wao wanafatuta kick
wala si umbea wa kiume its true anawatumia hawa mademu nao wanapata kuramba pipi tena anajua kuwapa pipi vizuri ndo maana so si umbea wa kiume huu ni true reality
wivu kwa diamond? unanichekesha sasa na yeye diamond hana wivu na ally kiba mpaka ampeleke majambazi watake kumuuwa. grow up biashara hii ukijua kuwatumia watu ndo unaenda mbele kila kitu kina kanuni zake za kutumia katika maisha so tunasema tu mambo yalivyo wala hatuna wivu na diamond.
5 comments:
Well come to Showbizz man
Hao mademu hawana akili wanakubali kutumiwa?
Huu ni umbea wa kiume. Do I get some 'wivu'?
Siyo kweli Diomondo yupo juu na anakubalika ila mademu ndiyo wanachuana kuwa naye kwa vile anapesa na wao ndiyo hawana mapenzi ya kweli wanajitongozesha kwake we mwanamke na heshima zako huwezi kusikia mtu yupo na fulani akakutongoza ukamkubali. Ni wao wanafatuta kick
wala si umbea wa kiume its true anawatumia hawa mademu nao wanapata kuramba pipi tena anajua kuwapa pipi vizuri ndo maana so si umbea wa kiume huu ni true reality
Wivu tu ndo unawasumbua
wivu kwa diamond? unanichekesha sasa na yeye diamond hana wivu na ally kiba mpaka ampeleke majambazi watake kumuuwa.
grow up biashara hii ukijua kuwatumia watu ndo unaenda mbele kila kitu kina kanuni zake za kutumia katika maisha so tunasema tu mambo yalivyo wala hatuna wivu na diamond.
Post a Comment