ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 20, 2014

MEZA YA WAKULU; NI KWELI, DIAMOND ANAWATUMIA WAREMBO ILI AENDELEE KUWA JUU?

5 comments:

Anonymous said...

Well come to Showbizz man
Hao mademu hawana akili wanakubali kutumiwa?
Huu ni umbea wa kiume. Do I get some 'wivu'?

Anonymous said...

Siyo kweli Diomondo yupo juu na anakubalika ila mademu ndiyo wanachuana kuwa naye kwa vile anapesa na wao ndiyo hawana mapenzi ya kweli wanajitongozesha kwake we mwanamke na heshima zako huwezi kusikia mtu yupo na fulani akakutongoza ukamkubali. Ni wao wanafatuta kick

Anonymous said...

wala si umbea wa kiume its true anawatumia hawa mademu nao wanapata kuramba pipi tena anajua kuwapa pipi vizuri ndo maana so si umbea wa kiume huu ni true reality

Anonymous said...

Wivu tu ndo unawasumbua

Anonymous said...

wivu kwa diamond? unanichekesha sasa na yeye diamond hana wivu na ally kiba mpaka ampeleke majambazi watake kumuuwa.
grow up biashara hii ukijua kuwatumia watu ndo unaenda mbele kila kitu kina kanuni zake za kutumia katika maisha so tunasema tu mambo yalivyo wala hatuna wivu na diamond.