ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, March 18, 2014

MIKUTANO YA WAZIRI MEMBE MAKAO MAKUU YA JUMUIYA YA MADOLA LONDON, UINGEREZA

 Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha Mawaziri wa  Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akiendesha kikao cha 43 cha chombo hicho cha utendaji cha Jumuiya ya Madola Jijini London Uingereza. 

 Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi 9 zinazounda Kikosi Kazi cha Jumuiya ya Madola chini ya Uenyekiti wa Tanzania wakishiriki kwenye Mazungumzo na waandishi wa Habari baada ya kumaliza kikao chake cha 43 jijini London Uingereza.

 Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania akiwa kwenye kikao na Mabalozi wa Nchi za Afrika Wanachama wa Jumuiya ya Madola jijini London, pembezoni mwa kikao cha Mawaziri wa Kikosi Kazi cha Jumuiya hiyo.

 Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Peter Kallaghe akimkaribisha Mhe. Bernard Membe, Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha Mawaziri wa Nchi za Jumuiya ya Madola kuzungumza na Mabalozi wa Nchi za Kiafrika  wanachama wa Jumuiya hiyo.
 Mhe. Benard Membe, Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha Mawaziri wa Jumuiya ya Madola akimkaribisha Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya hiyo Mhe. Kamalesh Sharma alipofanya naye mazungumzo kabla ya Mkutano wa 43 wa Kikosi Kazi hicho kuanza

No comments: