MSIKILIZE MBUNGE WA KILWA MHE. MUTAZA MANGUNGU AKICHAMBUA FAIDA ZA URAIA PACHA
Mhe. Mutaza Mangungu mbunge wa Kilwa kwa tiketi ya CCM akiongea na Vijimambo mchana wa leo Jumamtatu March 17, 2014 kutoka Dodoma na kuelezea faida ya Uraia pacha Msikilize hapo chini
1 comment:
Anonymous
said...
Mheshimiwa Mangungu ameelezea vizuri sana suala la uraia pacha. Itakuwa vema wabunge kupatiwa semina ya kuelimisha faida za kuwa na uraia wanchi zaidi ya moja.
1 comment:
Mheshimiwa Mangungu ameelezea vizuri sana suala la uraia pacha. Itakuwa vema wabunge kupatiwa semina ya kuelimisha faida za kuwa na uraia wanchi zaidi ya moja.
Post a Comment