ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 19, 2014

MZEE MWINYI AZINDUA TAWI LA BENKI YA KCB SHARIAH JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (Katikati)akizindua tawi jipya la Benki ya KCB Shariah Lililopo barabara ya Lumumba jijini Dar es Salaam, litakalotoa  huduma kwa kuzingatia maadili ya kiislamu,ambapo watapata mikoipo isiyokuwa na riba .Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania  Moezz Mir, wapili kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa benki hiyo Dr.Edmund Mndolwa na wakwanza Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Shariah wa benki hiyo Uzairu Athuman. 
Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (Katikati)akimkabdhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni kumi,Mwenyekiti wa yatima group trust fund Winfrida Lubanza kwaajili ya kuendeleza kilimo cha kisasa wakati wa uzinduzi tawi jipya la Benki ya KCB Shariah Lililopo barabara ya Lumumba jijini Dar es Salaam.kushoto ni ni Mwenyekiti wa bodi wa benki hiyo Dr.Edmund Mndolwa na  watatu toka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania  Moezz Mir.

1 comment:

Anonymous said...

wazungu bado hajajua ngojeni wajue watakuharibuni kifikra unless mrusi yupo pamoja na nini kukuteteeni na muiran