ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 2, 2014

SHEKHE NA MTOTO WAMWAGIWA TINDIKALI ARUSHA


SHEHE wa msikiti mkuu wa bondeni, Arusha Mustapha Mohamed Kiago (49) akiwa yupo nje ya wodi za watoto hospital ya mkoa maunt meru akisubiri mtoto wake apate kitanda na yeye aende wodin kupata matibabu baada ya kumwagiwa tindikali yeye na mtoto wake picha ya chini na mtu asiyejulikana ambaye hawakumtambua amesema shekhe wakati akiwa na mtoto wake gafla na mtu amejitokeza na kumwaga tindikali likampata yeye na mtotot wake lakini mtoto wake imempata zaidi shehe huyo amedai hatambui kisana mkasa ya tukio hilo akiwa na mtoto wake


Halidi Mustapha Mohamed (10) akiwa nje ya wodi ya watoto arusha akisubiri kitanda baada ya kumwagiwa tindikali.yeye pamoja na baba yake kitendo ambacho mtoto huyu hana makosa sasa matukio ya kumwagiwa tindi kali yahamia katika mji wa Arusha baada kutoka Zanzibar tutawajuza.

5 comments:

Anonymous said...

Mimi naswali Watanzania wenzangu. hivi Serikali imeshindwa kweli kukomesha hili tatizo la Tindikali maana linazidi kututia aibu na linatishia maisha ya watu kila kona ya nchi yetu .

Anonymous said...

Wakikomesha watajengaje majumba ya fahari?

Anonymous said...

SERIKALI NDO CHANZO YA HILI BALAA WAO NDO WAMEANZISHA HAYA MABALAA WAMEONA HATU HAWAITAKI CCM BASI WAO NDO WANAFANYA NJAMA ZAO HIZI KUGOMBANISHA DINI NA WATU ILI WATU WA FOCUSE HUKO HALAFU WAO WAFANYE YAO WANAYOTAKA KUFANYA. POLITICS YA CCM IS A DIRTY GAME.

TULIZA AKILI UTAONA TU NINAYOKUAMBIA HAYA SI SIRI

Anonymous said...

Yaani kwa kweli hii inatishia amani

Anonymous said...

ni njama hizi za kuwamwagia tindikali zimesukwa toka long time na serikali wanajua si siri