Halidi Mustapha Mohamed (10) akiwa nje ya wodi ya watoto arusha akisubiri kitanda baada ya kumwagiwa tindikali.yeye pamoja na baba yake kitendo ambacho mtoto huyu hana makosa sasa matukio ya kumwagiwa tindi kali yahamia katika mji wa Arusha baada kutoka Zanzibar tutawajuza.

5 comments:
Mimi naswali Watanzania wenzangu. hivi Serikali imeshindwa kweli kukomesha hili tatizo la Tindikali maana linazidi kututia aibu na linatishia maisha ya watu kila kona ya nchi yetu .
Wakikomesha watajengaje majumba ya fahari?
SERIKALI NDO CHANZO YA HILI BALAA WAO NDO WAMEANZISHA HAYA MABALAA WAMEONA HATU HAWAITAKI CCM BASI WAO NDO WANAFANYA NJAMA ZAO HIZI KUGOMBANISHA DINI NA WATU ILI WATU WA FOCUSE HUKO HALAFU WAO WAFANYE YAO WANAYOTAKA KUFANYA. POLITICS YA CCM IS A DIRTY GAME.
TULIZA AKILI UTAONA TU NINAYOKUAMBIA HAYA SI SIRI
Yaani kwa kweli hii inatishia amani
ni njama hizi za kuwamwagia tindikali zimesukwa toka long time na serikali wanajua si siri
Post a Comment