ANGALIA LIVE NEWS
Sunday, April 13, 2014
*DARAJA LA KAWE UKWAMANI NALO LASOMBWA NA MAJI
Mvua kubwa iliyonyesha juzi na jana kwa siku mbili mfululizo imesababisha maafa mengine kwa wakazi wa Kata ya Kawe, ambapo daraja lao nalo limesombwa na maji ya Mto Mbezi katika Mtaa wa Ukwamani.
Picha na Sufianimafoto
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment