Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza katika moja ya hafla hapa Washington DC Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog |
Naibu Waziri wa Fedha na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Tanzania Bara) aliyoitoa katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano hapa Washington DC.
Audio hii ni kwa hisani ya Vijimambo Blog
2 comments:
Mhe. Nchemba nilifikiria hotuba yako itakua na simulizi zitazoleta hisia za kusherehekia miaka 50 ya Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar. Badili yake umehutubia sera za CCM na malumbano ya kuwakejeli wanachama wengine wa Bunge Maalum la Mkataba. Huoni kwamba hotuba yako imekwenda mchomo kwa kuja Umarekani kuchochea ubaguzi wa kikabila badala ya kuwaunganisha Watanzania?
Naona anonymous umepitwa na wakati. Ukabila ni neno watanzania walilisahau miaka hamsini iliyopita. Mimi ni mchagga na nina haki ya kujivunia uchagga,mhaya, mhaya, mhehe na wengioneo wana hati ya kujivunia culture yao. Mzanzibari ana haki ya kujivinia uzanzibari wake. Kitu muhimu ni kuheshimiana na kuwa pamoja wakati wa ubaya na uzuri. Huku ugaibuni tumechua mafano wa watanzania wa kuishi pamoja kwa njia njema siku zote.
Temba
Post a Comment