Kwa niaba ya familia ya Mzee Msungu wa Iringa - Tanzania,
Uongozi wa kanisa la Silver Spring Assemblies of God - Glenmont
tunaleta shukurani zetu tena kwaajili ya upendo na mshikamano
wenu mliouonyesha siku ambayo mama mzazi wa Fenista Msungu
alifariki wiki jana, MUNGU AWABARIKI SANA NYOTE.
Leo tunawaletea tangazo la kumaliza msiba. Ibada itafanyika
Mei 3, 2014. Muda wa ibada ni kuanzia saa 10jioni hadi saa 12:30
(4pm-6:30pm). Anuani yetu ni hii:-
12805 Georgia Avenue,
Silver Spring MD 20906.
OMBI MAALUM: Akina mama/dada njoo na vitafunwa ( bites )
Akina baba/vijana njooni na maji,soda na juice.
Kwa mawasiliano piga simu 240 408 9664/240 604 2446
Mungu wa mbingu na nchi awabariki sana kwa kuja kwenu.
Ni sisi watumishi wa Mungu,
Mch. Malekela
Mch. Stella Swai
No comments:
Post a Comment