Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band" aka FFU-Ughaibuni, yenye makao yake kule ujerumani inatoa salam maarumu za z
siku ya wafanyakazi duniani "MEI MOSI" aka May Day,
Ngoma Africa band itawatakia kila la heri wadau wote duniani kwa kusherehekea
sikukuu ya Mei Mosi
Tafadhali pata burudani ya muziki at www.ngoma-africa.com

No comments:
Post a Comment