
Mara nyingi inapotokea mvua kunyesha kwa wingi watu wengi hawapendi kugusa maji yanayotwama kutokana na ubovu wa miuondo mbinu wetu ulivyo na kuna vijana huwa wanajipatia kipato kwa kuamua kuwabeba watu hao waogopa maji kama unavoona kwenye picha hii dada kamlipa kijana huyu ili amvushe ng'ambo ya pili lakini sijui nini kimetokea katika picha hizo chini inaonyesha wameanguka kwenye maji hayo. Swali linakuja unafikiri dada huyu atarudishiwa pesa yake?


No comments:
Post a Comment