Hii ndiyo Trailer ya Short Film inayoitwa Barua yangu.
Barua yangu ni short Film Inayowakutanisha Vijana wa mtaa mmoja wanaolipiziana visasi kwa kuchukuliana wasichana Bila kujua kuwa Wanaingia kwenye Matatizo...Je unataka kujua yapi yaliosheheni kwenye BARUA hiyo Na je.Ni nani aliyeandika barua hiyo..??? Usikose kuangalia short film hii ambayo itakuacha Ukitokwa na machozi.
No comments:
Post a Comment