Linda na mumewe Addson wakiwa meza kuu kwenye sherehe ya harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi April 12, 2014 Windsor, Maryland kwenye ukumbi wa Martin's West na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wa pande zote mbili.
Bibi na Bwana harusi wakiwa na wapambe wao Hilda na Isaac
Wasimamizi toka kushoto ni Courage, Eric, Liz, Mubelwa, Severine, Kelvin, Bih na Clarkson
Bibi na Bwana harusi wakikata keki
Linda akimlisha keki Addson
Addson akimlisha keki Linda
Dansi ya kwanza kama mume na mke.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment