ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 13, 2014

MAISHA YENYEWE MAFUPI HAYA ACHA TULE UJANA

Mvua kitu gani bana muhudumu lete nyingine maisha yanaendelea kiroho safi Bongo tambalale acha watu wale ujana. Licha ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha bongo lakini watu kula bata ni kitu cha kawaida.

2 comments:

Anonymous said...

watu wengine WAPUMBAVU!

Anonymous said...

Kunyweni leo kesho mkatibu Kichocho,kipindupindu IDIOTS!