ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 30, 2014

UPENDO NI KITU MUHIMU SANA BILA KUJALI RANGI, DINI NA UKABILA

Hii inaonyesha kuwa upendo unaitajika bila kubagua kama wewe ni nani na unaisha wapi, siyo kwa rangi dini wa kabila wote na waja tu hapa dunia. Unaweza kujifunza kitu kutokana na picha hii hapa jitiririshe.

1 comment:

Anonymous said...

Very true! Hopefully Mr. Sterling will learn from this! LOL!!