Friday, May 30, 2014

BREAKING NEWS: GEORGE TYSON WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI AKITOKEA MORO KWENDA DAR USIKU HUU.


George Tyson.
 ni Muongozaji wa Filamu Nchini Tanzania George Tyson Mwenye Asili ya Kenya anaye fanyia shughuli zake nchini Tanzania amejizolea Umaarufu Mkubwa nchini Tanzania kwa Kuongoza baadhi ya Filamu za Kitanzania na hizo Filamu ya kwanza ni Girl Friend na Dilema, Jamaa ana mtindo wa kipekee kwenye Filamu ambazo yeye anongoza mara nyingi huweka watu wazito kivipi. yaani yeye hufanya kazi na wasanii wa Bongo Flava au Wabunge au Watangazaji hapo tu ndo amekuwa tofauti na waongozaji wengine wa Filamu.


Tyson amesimamia na kuongoza documentaries mbalimbali ikiwemo ile ya Mtandao wa Jinsia Tanzania: TGNP : katika mchakato kuelekea usawa wa kijinsia Tanzania : inakuletea : maadhimisho ya Miaka Kumi katika harakati ya kupigania usawa wa kijinsia / Yvones Productions presents a George Tyson documentary / mwabdishi, George Tyson ; muongozaji George Tyson na Hivi Karibuni amekuwa akisimamia kipindi cha Mboni Show kinachorusha na EATV

2 comments:

Anonymous said...

mmm kweli hizi ni nyakati za mwisho,vifo vimekuwa vingi,tujiweke tayari kila iitwapo dk,saa,siku n.k kwani hakuna ajuae saa wala siku...rip Tyson.

Anonymous said...

RIP George.