Friday, May 30, 2014

Tangazo la Misa ya Marehemu Robin Mataji

Familia ya Mataji ingependa kuwataarifu misa ya kumuaga mpendwa wao Robin Mataji itakayo fanyika siku ya Jumamosi May 31,2014 kuanzia saa saba mpaka saa tisa mchana(1-3pm) katika kanisa la New Creation Christian Fellowship 806 S Stn Mtn Lithonia road, Stone Mountain, GA30088. Baada ya misa kuta kuwa na chakula cha pamoja. Robin alifariki Jumatatu May 19, 2014 kwa ajali ya pikipiki na anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatatu June 2, 2014 Jordanville NY. Tafadhali tunaombwa kuzingatia muda wa Ibada ya Misa. Kama mila na destruri zenu, una weza kutoa rambi rambi zako kwa mtoto wa marehemu Mosi Mataji Trust Fund kwa kupitia Bank Of America
Acct #:4460 1526 0855
ABA Routing: 026009593
Swift Code: BOFAUS3N
Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na wafuatao:
Henry Mataji 571-275-9458
Ramadhani Chuma (770)653-6598
Abdul Kimario (678)478-7025
Carlos (404)343-5770

No comments: