Thursday, May 29, 2014

DIAMOND KWENYE COLLABO NYINGINE NA TIWA SAVAGE JITIRIRISHE

Diamond akifanya video ambayo Tiwa atakuwa ndani yake, hizi ni moja za kazi zake alizopanga kuzifanya kwa kuwashirikisha wanamusic wa kimataifa. Babu Tale Boss wa Diamond alifunguka na kusema baada ya kazi hii inayofata nicollabo nyingine na Mafikizoro wa South Africa. Na pia Diamond ameandika kupita mtandao wa kijamii  na kusema kuwa show yake iliyokuwa ifanyika Northampton Uingereza tarehe 30 kesho imekuwa Canceled na sasa show iliyoko kichwani kwake yeye na crew yake ya wasafi ni New Jersey, New York jumamosi tarehe 31 itakuwa funga kazi kwavile atakuwa amepata muda mwingi wa kupumzika na tayari kwa show ya uwakika zaidi ya zile mbili za Dallas na Houston. 


1 comment:

Anonymous said...

picha za Dallas na Houston mbona hamuweki au alichemsha?