Thursday, May 29, 2014

PITA PITA YA VIJIMAMBO NYUMBANI KWA NY EBRA

Naibu Mwakilishi wa kudumu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania  katika Umoja wa Mataifa Balozi Ramadhan Mwinyi akipata ukodak na Ny Ebra. Mhe. Balozi  baada ya kumaliza kazi za kioffice na akiwa njiani kuelekea nyumbani alipitia nyumbani kwa Ny Ebra kumjulia hali.  Ebra ameumia mguu siku ya tarehe 24 na sasa yupo tu nyumbani akiuguza mguu wake.
Hapa ni Mwenyekiti wa Tawi la CCM New York Bwana Masoud Maftah nae akimjulia hali mdogo wake Ny Ebra.

1 comment:

Anonymous said...

pole sana ibra pole sana Allah atakuafu inshallah rabbi

NY