ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 24, 2014

DIAMOND YUKO NDANI YA TEXAS AKIWA NA WENYEJI WAKE DMK, PHANUEL NA INNOCENT TAYARI KWA MAKAMUZI DALLAS NA HOUSTON

8 comments:

Anonymous said...

where can we watch the show live?

Anonymous said...

Huyo ndiyo Phanuel Peter Ligate??

Aiseee Usichezee moto utalungula !!!

Anonymous said...

ushamba diamond huo kwani hao waliokuleta hawajakuambia si baridi kali hivi na kuchukua majacket. unakipaji cha kuimba lakini mbwembwe zako hizi na kuwafata wanaokutumia vibaya kama hujakuwa makini utaharibu usanii wako.piga show na kuwa simple babaaaa eeeh

Anonymous said...

Mbona wako kishamba sana wanavaa nguo kama wakongo au ndio kwanza wameanza kuvaa au kusafiri kuweni simple

Anonymous said...

Oya mimi mshkaji wako wa zamani lilfue nakushauri usiwe kama mshamba wa kuvaa kuwa simple kaka

Anonymous said...

Acheni majungu na nyie..kavaa kishamba sijui nini..mshamba wa kusafiri, acheni uswahili wenu mnakua na kikorosho kama wanga ..wee huna unaanza kuongea Ovyo..unataka avae kama wewe ..?Mbona hujianiki na mavazi..kuweni wastaarabu

Anonymous said...

What's wrong with you people???? Amevaa kawaida Kama Watu wote ndivyo wanavyo vaa hilo ni jeans jacket its like casual if u dont know unavaa anytime... hebu acheni upumbavu wenu its jealous

Anonymous said...

washamba wote wanaovalisha na yeye pia na usiweke hii comment dj luke na vijimambo team mnaweka za kwenu tu za unoko unoko kuwajibu watu halafu tukikujibuni mnazitupa chini washamba wote na bado mko marekani bado ushamba mnao hatotoke daima