ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 22, 2014

HAPPY BIRTHDAY

 Cake ya
 Birthday ya 
Fungasha Leonard wa Kansas City.
Cake hiyo iliandaliwa na mdhamini wa pendo lake Neema. Vijimambo timu wish you happy birthday.
 Hapa Fungasha akikata Cake tayari kwa kushare na marafiki zake walioenda kumtembelea nyumbani kwake.
Fungasha akipata ukodak na marafiki zako na Nyuma ya Fungasha kulia ni mdhamini wa pendo lake Neema.

No comments: