Thursday, May 22, 2014

MH: WAZIRI WA FEDHA HAUDHURIA MKUATANO WA MWAKA WA BENKI YA MAENDELEAO YA AFRIKA (AFDB) UNAOFANYIKA MJINI KIGALI – RWANDA

Waziri wa Fedha Mh.Saada Mkuya Salum akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Kusini Bw.Patrick Diamini (wa kwanza kushoto) Mjini Kigali Rwanda. Mh.Waziri yupo Nchini Rwanda kuhudhuria Mkutano wa mwaka wa Benki ya maendeleo ya Afrika.
Mh.Saada M.Salum akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ya Kusini (DBSA) Bw.Patrick Diamini (wa pili kushoto) baada ya kikao kilichofanyika Mount Muhambara – Kigali Rwanda.
Waziri wa Fedha Mh.Saada M.Salum akipata maelezo kutoka kwa Amir Shaikh –‘Chief legal Council’ wa ‘African legal for Support Facilities’,wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa ‘African Legal for Support Facilities’ Bw. Stephen Karangizi.

No comments: