ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 24, 2014

Misa ya Kiswahili - Kuwaombea na Kuwasherekea Wakina Mama, Mei 25, 2014

Wapendwa Wote,

Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu ya lugha ya kiswahili kwa nia Kuwaombea na Kuwasherekea Wakina Mama

Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la Mtakatifu Edward (St Edward Parish)
901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, Phone: (410) 362-2000
Tarehe 25 Mei 2014. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).

Baada ya ibada tutakutana kwa mlo na viburudisho.
Karibuni sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa zako.
Kama una swali au maoni unakaribishwa kujibu barua pepe hii.
Asante sana ni katibu Dani Steven kwa niaba ya Baba Paroko, Evod Shao

No comments: