ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 24, 2014

NGOMA YA KITOTO HAIKESHI IKAISHA, NEW YORK YASALIMU AMRI KWA DMV YAPIGWA 5-0

 Juu na chini ni picha za mtanange wa New York na DMV
kwa picha zaidi bofya soma zaidi na habari kamili ya mechi baadae.


9 comments:

Anonymous said...

DMV imezidi lazima mfungwe kufanya mazoezi hamfanyi vitambi vingi mnajuwa kulala na wanawake tu,mmetia adabu.

Anonymous said...

DJ LUKE AND VIJIMAMBO TEAM, WACHEZAJI WOTE DMV NA WATANZANIA WOTE HUKO DMV NA VITONGOJI VYOTE HONGERENI SANA KWA USHINDI.

KWELI DMV MKIANDALIWA MNAZINGATIA. SAFU YA MBELE MOTO NA DEFFENCE NAYO SAFI NA VIUNGO WOTE MURWA. KWELI DMV HOYEEEEEEEEE!!!!!!!
BEKI WA NYATI TEAM ALIKUWA ANACHEZA RAFU SANA NDIYO MAANA ALIJIUMIZA BAADA YA KUKWAA DALUGA LA MLA DONA NA KAUZU/NGURUKA.
VIJIMAMBO ANDAENI PONGEZI ZA TEAM YETU YA DMV ILI MASHABIKI WAJE NA KUWAPA VIJANA WAO MKONO WA HERI.

MDAU WA AUTRALIA

Anonymous said...

Team New York maneno mengi,kutwa kucha. ..oooh mazoezi yamepamba moto. .ooh leo kwa ibra kuna hili lile..kumbe wote wacheza soccer kwenye couch ..lol video games hahahaha. . Bao tano. .sasa sijui mlikuwa mmesimama tuu au laa..bora mngemchukua winga machachari Abdoulatif..aka "TIFu" angewasaidia..

Anonymous said...

yaani mikwara yote ya NewYork wametoka patupu! Ama kweli Uzuri wa nje si tija!

Anonymous said...

Uchawi huo

Anonymous said...

new York wamezidi kutepeta midomo yao kama wanawakeee ndo maana wamepigwa chini kwa misifa sifa yao ovyooooo

Anonymous said...

watoto wa mama wa NY NA BADO NJOENI TENA MPIGWE CHINI

Anonymous said...

Magolii matano!!! Sasa walikula chakula gani? Ha ha! Mpishi achunguzwe!

Anonymous said...

walikula mbatata za urojo na halua na biriani na pombe kichaa za pesa mbili