ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, May 13, 2014

MKUU WA UNDP DUNIANI HELEN CLARK ATEMBELEA HIFADHI YA RUAHA

Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP ) Hellen Clark kulia akizungumza na askari wanaopambana na majangili hifadhi ya Taifa ya Ruaha Iringa jana
Mkuu wa UNDP Hellen Clark kulia akiwa na watendaji wa TANAPA akiwemo mratibuMratibu wa SPANEST Bw Godwell ole Meing'ataki wa pili kulia na mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi
Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP )Hellen Clark akiwa katika gari lililotolewa na UNDP.

1 comment:

Anonymous said...

Aaaw I want her scarf. Seriously the border of that scarf is a perfect symbol of nationalism. Somebody please hook me up