Advertisements

Thursday, May 29, 2014

MPIGAPICHA WA MLIMANI TV AAGWA, AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI DAR

Picha ya marehemu Bw. Maximilian Ngobe, enzi za uhai wake.
Mke wa marehemu (mwenye kilemba cheupe) akimuaga mumewe, Maximilian Ngobe.
Ndugu na jamaa wa karibu wakimfariji mdogo wa marehemu.
Mtoto wa kike wa marehemu akilia kwa uchungu kwa kumpoteza baba yake.
Mtoto wa kiume wa marehemu Maximilian Ngobe akiwa katika majonzi mazito.
Mke wa marehemu mwenye kilemba cheupe akifarijiana na mwanaye wa kike.
Baadhi ya maofisa wa Jeshi la Polisi waliohudhuria msiba wa Maximilian Ngobe. 
Mwili wa marehemu Maximilian Ngobe ukiwa kwenye jeneza tayari kwa mazishi.
Issa Michuzi (kushoto) akiwa na mpiga picha mkuu wa The Guardian, Seleman Mpochi wakati wa kumuaga marehemu Ngobe.


MWILI wa aliyekuwa mpigapicha wa Kituo cha Mlimani TV, Maximilian Ngobe, umeagwa leo katika Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam na baadaye kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni, Dar. Marehemu Maximilian alifariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.

(Picha na Haruni Sanchawa / GPL)

No comments: