Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizotua Global na kuthibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.
Kifo cha Recho kimekuja ndani ya wiki moja baada ya kufariki kwa msanii mwingine wa Bongo Movi Adam Kuambiana Jumamosi iliyopita, kifo hiki kimeleta mstuko mkubwa kwenye tasnia ya ya filamu za kibongo. Habari na picha zaidi zitawajia baadae.
Credit:GPL
4 comments:
Something got to be done! What happened? Alibleed? High Bp? e.t.c Yaani kujifungua ni death sentence? Inasikitisha sana. Please please take care or our mothers! Na mtoto je? Respiratory distress? Low sugar? So so sad. Poleni wafiwa. It's a double tragedy.
Wewe mdau hapo juu ndio unajifanya doctor sana au mungu?binadamu wite wanakufa hata marekani pia wanakufa na uzazi..watu wengine bwana kutia drip na kufisha mavi ndio wanajiona wanajua kila kitu. Poleni sana wafiwa
Yani mama mjamzito anapoteza maisha kwa kujifungua? Watanzania tumezidi uzembe.
R.I.P DEAR RACHEL.
Post a Comment