Saturday, May 31, 2014

RAPHAEL FAIDA MWEKA HAZINA WA NYTC AKAMATA NONDO

Raphael Faida  mweka hazina wa NYTC hapa akiwa na vazi lake la heshima siku ya graduation yake. Bwana Faida amemeza nondo ya Masters in Accountancy kutoka Queens College New Yok. Timu ya Vijimambo inakutakia mafanikio mema katika maisha yako. (Bwana Faida anawakirisha kizazi cha Rock City Nyamagana)

2 comments:

Anonymous said...

Hongera sana mwema Hazina wetu.

Anonymous said...

Rafa, good man, degree nice and knowledge is key. Yo man! Great, nice, marvelous, ...