Tuesday, May 20, 2014

SPECIAL KWA WANYAKYUSA HII INAWAUSU

3 comments:

Anonymous said...

Mbona kama wanyasa tu? Ngoma za asili ukitaka funga kazi ni Warangi na Wanyamwezi we bwana - tukiwa shuleni ilikuwa wakiingia zamu yao kila mtu anachanganyikiwa. Fitness program complete

Anonymous said...

hahahahaa wakina MWAKANANIHII safi hiyo ,lakini naungana na mdao hapo juu wanyamwezi na warangi ngoma zao ni ORIGINO.

Anonymous said...

wewe mrangi au mnyamwezi nini mbona unawafagili sana makabila haya