ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 3, 2014

TANGAZO LA ,MSIBA NEW YORK NA TANZANIA


Ndugu yetu Ernest Meza kafiwa na mama yake mzazi leo tarehe 3 May 2014. Kama kawaida yetu watanzania, tunaomba kujumuika pamoja katika wakati huu mgumu. Kwa ndugu yetu address ni 128 north 5th avenue, mount Vernon NY. 10550. Kwa taarifa zaidi piga Simu: (646) 318-9219 or (914) 607-1406.

Kwa niaba ya Familia,

Katibu, New York Tanzanian Community.

No comments: