UCHAGUZI WA VIONGOZI
JUMUIYA YA WATANZANIA DMV
Kamati maalum ya uchaguzi DMV inapenda
kuwakumbusha wanajumuiya kuhusu taratibu za uchaguzi. Uchaguzi utafanyika
kufuata katiba iliyotungwa na wanajumuiya wenyewe. Rejea sehemu zifuatazo za katiba
yetu: 1.2 Haki za wanachama (Rights of Members) na 1.3 Wajibu
wa wanachama (Obligations of Members). Katiba ya Jumuiya ya Watanzania (DMV)
inapatikana hapa: http://www.watanzaniadmv.org/about.asp.
Orodha ya majina ya wanachama hai inapatikana
hapo chini. Tunawaomba wanajumuiya muangalie majina yenu na mjiunge na jumuiya
yetu ili tuweze kupiga kura na kuchagua viongozi wetu. Lengo letu ni kujenga Jumuiya
iliyo imara na hakuna atakayeweza kufanya hivyo kwa ajili yetu bali ni sisi
wenyewe. Katiba tuliiweka ili ituongoze huu ni wakati muafaka wa kurekebisha
makosa na kuanza upya bila kuvunja sheria za katiba yetu.
Wasiliana na muweka hazina wa Jumuiya
kuhusu suala lolote la malipo: Ndugu Genes Malasy kupitia barua pepe gmalasy@watanzaniadmv.org au kwa simu nambari (301) 367-8151.
Kwa maswali au mawazo wasiliana na
kamati ya uchaguzi kutumia barua pepe ifuatayo; uchaguzi2014@gmail.com
Tunatanguliza shukrani,
Kamati maalum ya
Uchaguzi
“UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU”
WANACHAMA HAI
1
Amos Cherehani
2 Asha Hariz
3 Asha Nyang'anyi
4 Benson Mwaipaja
5 Cane Mwihava
6 Dickson Mkama
7 Dj Luke
8 Eliserena Kimolo
9 Elizabeth Kibona
10 Ernest Kessy
11 Farida Jettah
12 Genes Malasy
13 Grace Mgaza
14 Hamza Mwamoyo
15 Harrieta Shangari
16 Iddy Sandaly
17 Jabiri Jongo
18 Jasmine Rubana
19 Liberata Mulamula
20 Martha Lema
21 Mussa Shedafa
22 Raymond Abrahamu
23 Safari O'Humay
24 Shamis Mattar
25 Jacob Kinyemi
26 Baraka Daudi
2 Asha Hariz
3 Asha Nyang'anyi
4 Benson Mwaipaja
5 Cane Mwihava
6 Dickson Mkama
7 Dj Luke
8 Eliserena Kimolo
9 Elizabeth Kibona
10 Ernest Kessy
11 Farida Jettah
12 Genes Malasy
13 Grace Mgaza
14 Hamza Mwamoyo
15 Harrieta Shangari
16 Iddy Sandaly
17 Jabiri Jongo
18 Jasmine Rubana
19 Liberata Mulamula
20 Martha Lema
21 Mussa Shedafa
22 Raymond Abrahamu
23 Safari O'Humay
24 Shamis Mattar
25 Jacob Kinyemi
26 Baraka Daudi
8 comments:
Watu elfu tatu wakowapi? Hii ni aibu!!Mbona sikukumbushwa?! mama weeee!!!
Haya muda ndoo huu haya mnakumbushwa tena bado muda upo.
HATA MAAFISA WETU WA UBALOZI WAKO NYUMA PIA?
Habari ndiyo hiyo angalau balozi wetu kaonyesha mfano bora sasa maofisa wake jeeee?? Miaka ya nyuma balozi ndiyo alikuwa mlezi wa Jumuiya kwa maana hiyo maofisa wake nao walikuwa wana jumuiya...
Tutafika tuu.
Wajasiriamali mngejiandikisha ili muongeze wateja, muwe na bei za members na non-members. Ni ushauri tuu
Kwa haraka haraka, zaidi ya 50% ya wanachama hai wa Jumuiya ni viongozi watendaji na wajumbe wa bodi pamoja na familia zao. Hapa ndipo viongozi wetu inabidi waoneshe leadership skills zao. Leadership is not about photo op-ed, which appears to consume the mind of our novice leaders. Picha zenu na mawaziri na watu wengine mashuhuri won't move this Community forward, but effective leadership will!
Anonymous wa MAY 22 3.05PM wacha majungu, viongozi hawa wamejitahidi sana kufanya kazi na hujui wamekupigania kiasi gani wakati wa kikutana na hao viongozi wa nchi. Wametuletea mambo ya maendeleo na kutuconnect na nyumbani na mashirika makubwa yanayotoa huduma za jamii kama NSSF na mabenki na tukawaeleza madukuduku yetu leo hii benki hizi zimefungua account maalum za wanadiaspora.. Mikutano hiyo hiyo na viongozi wa serikali wamewaeleza kilio chetu kuhusu dual citizenship. VIONGOZI MTAKAORUDI ili muwakate vilimilimi wasiopenda maendeleo NAOMBA KILA MKITUTANA NA VIONGOZI WA SERIKALI NAOMBA ILE HOTUBA RAIS WETU UNAYOTOAGA NAOMBA UWAELEZE WANAJUMUIYA YAKO YALE ULIYOONGEA NA WAHASHEMIWA. ILI WAONE MNAVYOCHAPA KAZI. THESE GUYS HAVE DONE WONDERS FROM A BROKEN COMMUNITY NA SASA Tunaumoja wenye nguvu, tumepata misiba hapa last year kama vile kulikuwa na balaa these leaders stood with us na hajawahi chomwa mtu. LET US GIVE THEM POSITIVE CRIRICISM ILI WANAOKUJA WAENDELEE NA SI KUKAA HUJUI KINACHOFANYIKA UNAKAA KUANDIKA HABARI ZA UONGO. MPIGIE RAIS WAKO MWULIZE RAIS NILIKUONA UMEPIGA PICHA NA RAIS KIKWETE ALIPOKUJA LAST TIME HIVI MLIONGEA NINI??? AKISEMA NOTHING THEN COME AND WRITE YOUR IDEAS<<<,
TUWE WAKWELI
Nyie mnaodai mna leadership skills njooni! UTAMU AU UCHUNGU WA NGOMA UTAIJUA NA WEWE UKIINGIA NA KUICHEZA SI KWA KUKAA NA UNALALAMIKA OOOH MBONA VIUON VIMEKAZA?? INGIA UJARIBU NA WEWE KUZUNGUSHA KIUNO
Namuunga mkono mchangiaji anayekosoa uongozi. Wale wanaojua hawawezi kuongoza hawagombei nafasi za uongozi. Ukigombea ukachaguliwa ni lazima uongoze kwa ufanisi. Ni aibu kubwa kwa Jumuiya yenye watu zaidi ya 500 kuwa na wanachama hai wasiozidi asilimia tano. Kama kiongozi lazima ujiulize maswali mengi. Kuongoza ni kuhamasisha wafuasi kufanya kitu fulani kwa manufaa yao. Kiongozi asiyeweza kuhamasisha hawezi kuongoza kwa tija. Huu ni ukweli usiopindika.
Post a Comment