Advertisements

Saturday, June 14, 2014

ANGALIA PICHA INASIKITISHA; BOMU LARIPUKA DARAJANI ZANZIBAR, MMOJA AFARIKI

Mlipuko unaosadikiwa kuwa ni bomu jana Juni 13, 2014 ulilipuka eneo la Darajani Zanzibar na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi watatu.
Tarifa zinasema mlipuko Huo umetokea baada ya waumini wa dini ya kiislamu kumaliza muhadhara uliokuwa ukitolewa Miskiti wa darajani baada ya salsa ya Isha.
Aliyekufa ni mmoja kati ya wahadhiri waliokuja kutoka Tanga na Sheikh Hamad ndiyo aliyekuwepo theater. Na Sheikh Kassim Mafuta kaumia kidogo.
Majeruhi 3 wamelazwa hospitali ya Mnazi Mmoja, Zanzibar wakiwa na majeraha madogo 'madogo. Majeruhi wa nne yupo theatre sasa hivi na nali yake sio mbaya. Picha/Habari na Salim Sujae

3 comments:

Anonymous said...

Kuna nini huko Zanzibar jamani?

Anonymous said...

kuna mfumo kristo huko Zanzibar wanataka kuwaauwa waislamu na dini yao na nchi yao ndo kinachojiri huku.Lakin Allah yupo pamoja nao atawalinda inshallah

Anonymous said...

bania tu comment tumeshakushtukizia wewe ni ccm pamoja na blog yako magamba mkuubwaa