Advertisements

Saturday, June 14, 2014

HOT NEWS: MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI HAPPY KIMALI AHUKUMIWA KWENDA JELA KWA MIEZI MITATU.

Mwimbaji Maarufu wa Nyimbo za Kumtukuza Mungu Happy Kamili Pichani  amehukumiwa  kifungo cha Miezi mitatu jela kwa kosa la Kugonga Gari iliyokuwa nyuma yake wakati alipokuwa akiirudisha nyuma Gari yake mwezi wa kwanza mwaka huu.
Taarifa Kamili inakuja 
Fuatilia Hapa Mbeya yetu Blog

1 comment:

Anonymous said...

Sijawahi hata siku moja kusikia kosa dogo la kugonga gari likamhukumu mtu kwenda jela. Hapo kuna mambo mengine jamani!!!!