Last Saturday June 14th. Tanzanian Award winning designer the extraordinaire Linda Bezuidenhout was among the designers who were selected to dress award presenters at the GEORGIA MUSIC AWARDS in Atlanta.Among the designers Linda Bezuidenhout ( LB ) was so fortunate to dress 4 awards presenters including Renee Knorr of My Beauti Network













10 comments:
Sasa kama huyu anapewa award na kushona ni vituko eve collection atapewa nini?? Kazana kushona wacha kujitangaza chona mama bado sana ....Jitahidi your have long way unatumia nguvu kujionyesha na nguo zako bado hazivutii ji tahid.i vizuri vyajiuza vibaya vyajitembeza mama kanyaga chereani...
Very true. Inaonekana kuwa anafanya mashindano na wengine na kutafuta sifa kuwa yeye ni designer wa kwanza wa kitanzania kupewa awards. Sasa unazungumzia awards za vichochoroni zinasotangazwa na unknown urban bloggers. Hayo mashindano na shows anazoshiriki sio special ni open for public any body can participate. She needs to start at the basics. Start with garment construction s different type of seams and finishing darts etc. Have a long way to go. Good luck
DJ Luke Saleheri ,mdau apo juu shikamoo ,tena anatakiwa aikanyage cherehani khaswa graaaaaaaa ,graaaaaaaa maana nguo utafikiri anashona na kibatari tena kwenye usiku wa manane haya DJ luke chei chei basi .
Eve collection habuni mwenyewe anatumia wajuzi huyu dada ni total package. Kuanzia kubuni kukata mpaka kushona nani anayefanya hivo kwa madesigner wa kibongo. Mpaka mtu anapewa Award basi ujue umefanywa uchunguzi. Wamarekani wamemkubari wewe utabaki kubwabwaja tu.
Katumia nguvu wapi wewe. hizi ni habari za nguvu. Ingekuwa anatumia nguvu basi tungewekewa habari zote zilizoko kwenye Facebook page yake. Yani ni nyingiii na zina staili kwenda vyombo vya habari zingine wala haziendi kwenye viombo vya habari , laiti zingekuwa zinawekwa zote sijui mngesema nini. Huyu ni designer wa mastar na yeye ni Star tena hajaanza ustar leo tangu hata hao kina Eve hawajurikani mastar woote unawajuwa wewe wa kibongo walikuwa hawajurikani huyu ndo star wa kwanza wakibongo ndo mana yuko kwenye vyombo vya habari.....na mambo yake ni makubwa mpaka magazeti ya kimarekani yanamtambua. Mimi follower wake fan wake mkubwa.
LB is the best!. Her designs are so unique waosha vinywa mtasuuza vinywa vyenu mpaka mtachoka hamna anaemfikia na anaalijuwa hilo kwani mmeanza leo kumkashif? Mtasuhuza mpaka mpate vidonda vya makoo. Huyu ni designer professional na wakileo na uzuri kajariwa kotekote miguu na matako ndo kabisaaaa nyie suhuzeni makoo sie twawasanif tu alamusic
Kuna kuown clothing line na kuna kuwa designer hizo ni tofauti mbili kubwa sana.Hao Wengine wote wafanya biashara wanauza nguo. LB anakipaji ni fani yake na wala ashindani na mtu nyinyi ndo mnashindana nae. Toka aanze tunaona madesigner wanaotumia mafundi wanaongeza speed anawa inspire semini ukweli.
She does all that my dear and beyond and she even educates others on her Facebook from the scratch to the end of the dress making. Pole pole turiza jazba si na wewe ukafanye show Zako basi. Huyu kafika mayors ball runway zake ni za kifahari she is one of the best designers of Atl unafaham hilo? Futa povu advertisement is very important and needed in any business she is doing just perfect or else MCdonalds and coca cola would have stopped advertising.Go go LB
How would these dresses be worn if all that was not done? Stop hating SHE IS BEYOUND PARFECTION NO WORDS CAN EXPLAIN
Hate is a very bad diseas for sure. How could a dress be done without following the procedures?. She is the best of the bestest. These garments are handmade by LB herself masharwa from the ideas concept to dress making she is gifted with a talent that some of us need to go to school to get where she is and we still can't beat her. Kati ya madesigner wa Atlanta wamechaguriwa wachache kwenda kwenye music Awards na yeye ni mmoja wao give credite where it's due. Na hakupewa award vichochoroni alipewa na matajiri aliwekwa group moja na wanawake mamillionaire bibi we mwenye kununa mpaka unanuka mdomo. Hamchoki kumchafuwa kila mkimponda mwenyezi mungu anamfungulia milango mingine tele. Embu ogopeni kidogo.
Post a Comment