Advertisements

Sunday, June 15, 2014

BALOZI MDOGO WA TANZANIA, DUBAI AFANYA MAHOJIANO NA CLOUDSTV WAKATI WA MKUTANO WA UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA NYUMBA ULIOFANYIKA TAREHE 11 JUNI, 2014, DUBAI


mahojiano ya Balozi Mdogo wa Tanzanaia, Dubai Mheshimiwa Omar Mjenga na CloudsTV, yaliyofanyika tarehe 11 Juni, 2014, wakati wa mkutano wa uwekezaji kwenye sekta ya nyumba uliofanyika haa Dubai na kufunguliwa rasmi na Mheshimiwa Dk. Mohamed Bilal, Makamu wa Rais.

Mkutano huo uliandaliwa na Ubalozi Mdogo kwa kushirikiana na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), ambako waliweza kuwasilisha miradi yao mitatu ya miji maalum (Satelite Cities) za Kibada, Dar es saalam, Safari City ya Arusha.

Huu ni mkutano wa kwanza wakihistoria kwenye sekta hii.

No comments: