ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 7, 2014

BREAKING NEW MZEE SMALL AFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI

Muigizaji mkongwe wa nchini Tanzania amefarika dunia Saidi Mganda Maarufu kwa jina Mzee Small amefariji dunia usiku wa leo katika hospitali ya muhimbili alikokuwa amelezwa akipata matibabu. Akithibitisha taarifa ya kifo cha mzee small mwanae aitwae Mohmoud amesema mzee wake amefikwa na mautihayo majira ya saa nne usiku wakati akiwa hospitali hapo akipatiwa matibabu.
Vijimambo imepokea taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana na inamuombea kwa mwenyezi mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.
Amin.

1 comment:

Anonymous said...

inna lillahi waina illahim rajiun poleni sana family yote ya mzee small.
sijui alisaidiwa wakati alivyokuwa anaumwa na hawa jamaa wa bongo movies.

inna lillahi waina illahim rajiun