ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 2, 2014

DUHHH YAWALIMWENGU MENGI

4 comments:

Anonymous said...

jamani mm acheni uongo mnajua kabisa wanawake kwa wanawake wenzao huwa hawapendani sana wanawake mara nyingi wanakuwa na marafiki wa kiume sana kuliko wanawake wenzao au inatoka hana kabisa hao marafi wa wanawake wenzao so mnachukulia madaa hii na kuwafumishia eti mwanamke huyu mumuogope mmm jamani acheni hizo

Anonymous said...

mwanamke kama huyu mimi ndo ninamtaka niambiyeni kama yupo popote

Anonymous said...

Kwa marafiki wa kike wala siwahitaji hata kidogo, umbea, unafiki na wivu ndio umetujaa wanawake heri kujikalia mwenyewe na kutenda yako, habari ndio hiyo

Anonymous said...

Alijisemea ISSA MATONA,UKISHAOLEWA,MARAFIKI SEMA NAO DIRISHANI. Nilikuwa mashoga kibao,nilivyompata muwest moja,basi wote walienda kumlala. Jamaa akaniambia hee nyie chicks za bongo wote tuko hivi?? Mwisho ya siku,akanipa shule kuwa sihitaji kuwa na rafiki zaidi ya ndugu zako,wengine iwe pure business. So I learned the hard way. But now I'm soooo happy,jamaa niliyenae ni raha kwenda mbele.