nnikipindi kipya ambacho kitakuwa kina wajia kila siku za wakiendi ambacho kuta kuwa na nyimbo mbili za bongo flava zenye maudhui moja na mukhatadha moja nia nikujaliu kusukuma gurudumu latu lamuziki huu wa bongo flava hii ni baada ya kuona kuwa kuna ukosefu mkubwa wa watu wanaoishi ughaibuni kukosa kuzisikiliza nyimbo za nyumbani hususani bongo flava
No comments:
Post a Comment