Msanii
maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania AMINI MWINYIMKUU maarufu kama
AMINI maisha yake yameanza kuwa ya wasiwasi baada ya kumpa mimba mwanadada
anayedaiwa kuwa mke wa mtu.
Habari za
awali zinasema mwanadada huyo ameahidi kumwambia mume wake juu ya ujauzito huo
pamoja na msanii huyo (AMINI) Kukataa kutoa huduma juu ya mimba hiyo. Haya ni
maneno ya amini baada ya kukumbwa na msala huo
“Nilikua
natoka nae lakini sikujua kama ni mke wa mtu coz alikua akishinda kwangu baada
ya mambo kuwa magumu alidai kuwa yeyeni mke wa mtu, kiukweli mimi sijamuelewa
wala akili yangu haisomi kabisa” alisema Amini.
No comments:
Post a Comment