Lydia na mama kijacho Rukia wakiingia ukumbini kwenye baby shower ya Rukia iliyoandaliwa na marafiki zake Lydia na Deotila kutoka Ohioiliyofanyika siku ya Jumamosi June 21, 2014 Philadelphia, Pennsylvania na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.
Lydia Rukia wakiwa ukumbini tayari.
Lydia na Rukia wakiipokelewa na ndugu, jamaa na marafiki mara tu walipoingia ukumbini.
Lydia na Rukia wakipata picha ya kumbukumbu.
Wageni waalikwa katika picha ya pamoja.
Kutoka kushoto ni Ramla, Rukia, Lilian, Enala na Janeth katika picha ya pamoja
Rukia katika picha ya pamoja na Deotila kutoka Ohio
DJ- Steve akifanya vitu vyake.
Lydia na Rukia wakitafakali jambo.
Victor na Hamza katika picha ya pamoja kwenye Baby shower ya Rukia.
Rukia akicheza na marafiki zake pamoja na mwanasheria wake.











No comments:
Post a Comment